Papa Francis ametoa wito wa Umoja huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwataka wananchi kutoruhusu tofauti za kidini kuwagawanya, akiwa katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika.
Papa Francis Atembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

5
Papa Francis akimbariki mtoto alip[otembelea kambi ya wakimbizi mjini Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati.

6
Walinda amani wa Umoja wa Mataifa walinda barabara kabla ya kuwasili Papa Francis huko Bangui.

7
Wanawake wenye furaha baada ya kumona Papa Francis alipowasili mjini Bangui siku ya Jumapili.

8
Papa Francis nawasili Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku ya Jumapili kituo cha mwisho cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika.