Wakazi wa mji mkuu wa Kongo wa Kinshasa waliandamana Jumanne tarehe 20 Disemba kupinga Kabila kuendelea na utawala baada ya muhula wake kumalizika.
Maandamano Kinshasa kupinga mamlaka ya Kabila
5
Polisi wapita vizuizi vya barabarani wakati wa maandamano mjini Kinshasa.
6
Maandishi yaliyoandikwa barabarani kumpinga Rais joseph Kabila.
7
Katika mtaa wa Lingwala, katika mji mkuu polisi wanawatawanya waandamanaji (VOA/Charly Kasereka)
8
Wakazi wakiimba nyimbo za kumpinga Kabila