Vijana wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafamikiwa kuilaza Moroko bao moja kwa bila na kuliongoza kundi la C baada ya Ivory Coast mabingwa wa Kombe la Afrika kwenda sare na Togo.
Michuano ya siku ya tatu ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2017

5
Timu ya Sénégal kabla ya kupambana na Tunisie, mjini Franceville, Gabon, Januari 15, 2017

6
Britain's Prince William and Catherine, Duchess of Cambridge, arrive by Tuk Tuk to attend an event hosted by the British High Commissioner to Pakistan, Thomas Drew, at the Pakistan National Monument in Islamabad.

7
Emmanuel Adebayo, wa Togo, kulia akipigania mpira na Mivory Coast Wilfried Kano, kushoto wakati wa mchuano wao wa kwanza kwenye uwanja wa Oyem, Gabon, Januari 16, 2017.