Mji mkuu wa biashara wa Gabon, Port-Gentil umepokea timu za kundi D katika finali za kuwania Kombe la afrika 2017. Mashabiki wa Mali, Ghana, Uganda na Misri walivamia mitaa ya mji huo kuanzia Jumanne timu zao ziliposhuka uwanjani.
Mji wa Port-Gentil wakaribisha Kombe la Afrika 2017

9
Un taxi a mis un drapeau du Mali sur sa voiture à Port-Gentil avant le match du groupe D, au Gabon, le 16 janvier 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)

10
Mashab iki wa Mali wakijitayarisha kabla ya mchuano wa timu yao.

11
Uwanja wa mpira wa Port-Gentil, Gabon, Januari 17, 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)