Ibada ya mazishi ya kiserikali yatafanyika katika Kanisa la kitaifa jijini Washington, DC Jumatano, na kufuatiwa na maziko Alhamisi katika eneo la maktaba yake ya urais huko Texas
Mwili wa Rais mstaafu wa Marekani ukiagwa kwenye ukumbi wa Bunge la Marekani
Waombolezaji watoa heshima zao za mwisho mbele ya mwili wa Rais George H.W. Bush ambao umelazwa kwa heshima za kitaifa katika ukumbi wa bunge la Marekani

10
Makamu wa Rais Marekani, Mike Pence, Rais wa zamani wa Marekani, Geoge W.Bush, ,na Mkee wake Laura Bush, wakiangalia jeneza lenye mwili wa Rais wa Zamani wa Marekani Geouge H. W Bush ndani ya jengo la Capitol, Washington DC, Dec 3, 2018

11
Bendera ya Marekani ikipepea nusu mlingoti, katika maombolezi ya kifo cha Rais wa zamani wa Marekani George H.W. Bush, Washington, Desemba 3, 2018.