"kwa jumla, tuna habari za vifo vya watu 207 kutoka hospitali zote. Kwa mujibu wa habari hiyo mpaka sasa tuna watu 450 waliojeruhiwa na wamelazwa hospitali,” alisema msemaji wa polisi Ruwan Gunasekera.
Shambulizi la Sri Lanka : Athari zake kwa raia na mali za nchi hiyo
Taarifa zinaeleza maeneo yaliyoshambuliwa mjini Colombo ni makanisa matatu na hoteli ikiwemo Shangri-La, Kingsbury, Cinnamon Grand na Tropical Inn karibu na makazi ya wanyama pori. Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe ameitisha mkutano wa baraza la usalama Jumapili.

11
Ndugu wa wahanga wa shambulizi la kanisani Sri Lanka wakiwa wanasubiri miili ya ndugu zao.

14
Ndugu ya muhanga wa mlipuko wa Sri Lanka, Colombo, akiwa katika eneo la shambulizi hilo ambako kuna kaburi la Mtakatifu Anthony.

15
Ndugu wa Muhanga wa tukio la Sri Lanka akionyesha huzuni mara baada ya kufika katika nyumba ya kihifadhia maiti ya jeshi la polisi.