Mahojiano hayo yanaendeshwa na Kamati ya Upelelezi ya Baraza la Wawakilishi. Hii ni hatua ya mchakato wa uchunguzi wa kumuondoa Rais wa Marekani Donald Trump madarakani.
Mahojiano ya kumchunguza Rais wa Marekani yaanza hadharani
Mwenyekiti Adam Schiff (Katikati), Mdemokrat wa California, akitoa tamko la utangulizi wakati wa mahojiano ya kwanza yanayofanyika hadharan.

5
Bunge la Marekani mjini Washington, mapema Friday, Nov. 8, 2019, wakati Wademokrat wakiendelea kuchunguza iwapo Rais Donald Trump alikwenda kinyume na kiapo alichokula cha ofisi ya rais kwa kuilazimisha Ukraine kumchunguza hazimu wake kisiasa Joe Biden na familia yake. (AP Photo/J. Scott Applewhite)