Katika nchi nyingi, kutokana na amri ya kutotoka nje waumini wamesali Eid nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi za Asia na Afrika ambako masharti yameanza kulegezwa wamekwenda misikitini kusali.
Waislamu duniani washeherekea Eid al-Fitr bila shamrashamra
Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia washeherekea Eid al-Fitr kwa njia ya kipekee kuwahi kushuhudiwa kutokana na janga la virusi vya corona.

9
Imam Mohamed Kariuki akitoa khouthba ya Eid al-Fitr ndani ya msikiti mjini Nairobi, Kenya.

10
Wanawake wa Palestina wasali kwenye uwa wa msikiti wa Al-Aqsa, Mji wa Kale wa Jerusalem.

11
Sala ya Eid al-Fitr kwenye uwa wa msikiti wa al-Aqsa, Mji wa Kale wa Jerusalem

12
Sala ya id al-Fitr katika jimbo la Lghman, Afghanistan wakati wa janga la corona likmendelea.