Rawlings aliyefariki November 12, 2020, atakumbukwa kama kiongozi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi nchini humo, mara mbili na baadaye kuleta mfumo wa demokrasia kwa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings afariki akiwa na umri wa miaka 73
- Abdushakur Aboud
Kiongozi wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings, atakumbukwa kwa kudumisha demokrasia na kuleta utulivu nchini mwake pamoja na kukuza uhusiano wa kimataifa.

13
Jerry Rawlings akisalimiana na raia baada ya kupiga kura mjini Accra 2008

14
Rais Hugo Chavez wa Venezuela akimtembeza Jerry Rawlings katika mtaa wa Caracas

15
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings awasili na mkewe Nana kuapishwa rais Nana Akufo