Waandamanaji hao waliharibu baadhi ya sehemu ya jengo hilo ikiwemo madirisha na Milango.
Wafuasi wa Rais Trump wafanya uharibifu jengo la Bunge la Marekani
Wafuasi wa Rais wa Marekani Donald Trump wavunja sheria za usalama na kuvamia ndani ya Bunge la Marekani wakati likiwa linajadili kuthibitishwa kwa kura za wajumbe za matokeo ya uchaguzi wa rais, January 6, 2021.

6
Wafuasi wa Rais Donald Trump wavunja sheria za usalama na kuingia katika Bunge la Marekani likiwa linajadili kuthibitishwa kwa kura za wajumbe za matokeo ya uchaguzi wa rais, January 6, 2021. (Photo by Saul LOEB / AFP)

7
Mlinzi wa Walinzi wa Taifa akitoa maelekezo katika mkusanyiko ulioko karibu na jengo la Freedom Plaza, Washington, Jan 5, 2021.

8
Walinzi wa Taifa wakielekeza magari karibu na muungano wa barabara inayo kwenda katika jengo la Freedom Plaza, Washington, Jan 5, 2021.AP Photo/Jacquelyn Martin)