Upinzani umepinga matokeo yaliyo tangazwa Januari 16 ukidai wizi mkubwa umefanyika. Kulingana na Tume ya Uchaguzi Museveni amepata asilimia 58.6 za kura huku mpinzani wake mkuu Bob Wine akiwa amepata asilimia 34.8.
Waganda wengi washeherekea ushindi wa Rais Museveni
- Abdushakur Aboud
Baadhi ya wananchi wa Uganda wakisheherekea ushindi wa Rais Yoweri Museveni kufuatia Uchaguzi Mkuu unaomweka madarakani kwa muhula wa sita, huku upinzani ukipinga matokeo.

9
Wafuasi wa Museveni washerehekea ushindi wa uchaguzi kwenye njia za Kampala

10
Mtaa wa Magere ukiwa hakuna mtu karibu na makazi ya Bobi Wine.

11
Joseph Kazibwe asikiliza redio yake matangazo ya matokeo ya mwisho ya uchaguzi

12
Wafuasi wa Rais Museveni washerehekea katika mitaa ya Kampala Januari 16