Seif Sharif ni mmoja kati ya viongozi wachache wa Afrika waloishi maisha ya kawaida bila ya kupenda makubwa. Ni kiongozi aliyependwa sana na wananchi kwa ustahmilivu wake na kutaka umoja wa wa-Zanzibari. Na anakua pia kiongozi wa upinzani aliyegombania kiti cha rais kwa miaka mingi bila ya kushinda.
Maisha ya kisiasa ya Maalim Seif Shariff Hamad kiongozi wa upinzani Zanzibar
- Abdushakur Aboud
Maalim Seif Shariff Hamad kiongozi wa upinzani wa Zanzibar kwa karibu miongo mitatu, afariki akiwa na umri wa miaka 77 baada ya kuugua ugonjwa wa Covid-19.

5
Wafuasi wa CUF wakionesha alama ya ushindi mbele ya bango la Seif Shariff Stone Town 2005

6
elf Sharif (kulia0 na viongozi wangle wa CUF Ibrahim Lipumba (kati) na Juma Duni (kulia) 2005

7
Kiongozi wa CUF Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi baada ya matokeo kufutwa 2015

8
Seif Shariff akimsalimia mfuasi wake kwenye makao makuu ya CUF Darajani baada ya kushindwa 2005