Maafisa wa uchaguzi wanasema kumekuwepo na wapigaji kura wengi walojitokeza katika uchaguzi unaofuatiliwa kwa karibu kupima mfumo wa kidemokrasia wa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Wagambia wapiga kura kwenye uchaguzi wa rais
- Abdushakur Aboud
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27 wananchi wa Gambia washiriki kwenye uchaguzi bila ya hofu kutokana na kutokuwepo na jina la kiongozi wa mabavu Yahya Jammeh.
9
Watu wasubiri kufunguliwa kituo cha kupiga kura katika mtaa wa Manjai Kunda mjini Banjul
10
wanawake wasubiri kupiga kura kwenye uchaguzi wa rais Gambia
11
Ousainou Darobe, kiongozi wa upinzani akiwasili kwenye kituo cha kupiga kura
12
Mfanyakazi wa uchaguzi akihesabu gololi za mgombea kiti cha rais Gambia mjini Serrekunda, Gambia, Dec. 4, 2021