Maelfu ya watu wahudhuria mkutano kupinga mashambulizi ya bunduki
Maelfu ya Watu washiriki kwenye maandamano na mikutano ya kupinga mashambulizi ya buduki, wakitoa wito wa hatua kali kcuhukuliwa ili kudhibiti bunduki Maekani.

5
Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

6
Muandamanaji kwenye March for our Lives

7
Makumbusho ya walouliwa kwa bunduki Marekani

8
Watu wabeba mabango wakati wa mkutano dhidi ya bunduki Washington DC