Jeshi la DRC lafanikiwa kuudhibiti mji wa Sake ulioko kaskazini mwa Goma

5
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, FARDC, limepelekwa katika mstari wa mbele huko mji wa Sakae kupambana na waasi wa M23.

6
Mkuu wa operesheni ya kijeshi ya FARDC

7
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, FARDC, limepelekwa katika mstari wa mbele huko mji wa Sakae kupambana na waasi wa M23.

8
Wanajeshi wa DRC wakiwa mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya waasi wa m23.