Akiwa Kenya atazungumza na wanawake na kutembelea maeneo yanayokumbwa na ukame na baadhi ya miradi inayogharimiwa na Marekani. Akizungumza na mwandishi habari wa shirika la habari la AP kwa mara ya kwanza alifafanua bayana kwamba mumewe Biden yuko tayari kugombania mhula wa pili.
Jill Biden mke wa rais wa Marekani awasili Nairobi, Kenya kituo cha pili cha ziara ya Afrika
- Abdushakur Aboud
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden amewasili Nairobi Ijumaa tarehe 24, Februari akiwa katika ziara ya mataifa mawili ya Afrika, Namibia na Kenya akifuatana na mjuku wake Naomi

5
Mke warais wa Marekani Jill Biden azungumza na mtoto kwenye mradi unaogharimiwa na Marekani wa PEPFAR karibu na Windhoek mji mkuu wa Namibia.

6
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akisalimaiana na wakazi wa kitongoji karibu na mji mkuu wa Windhoek, Namibia.

7
Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden azungumza na wananchi wanaopewa huduma kwenye kituo cha afya kwa ajili ya wagonjwa wa Umiwi karibu na Windhoek, Namibia.

8
Jill Biden (kati kati) akitembelea kitongoji cha Kibera wakati wa ziara yake ya kwanza Kenya mwaka 2010, wakati mume wake Joe Biden alikua makamu rais.