Chini ya mtindo huo, wanawake ambao mara nyingi hawana uwezo wa kupata mikopo kutoka kwa taasisi za fedha, hukopa pesa walizokusanya pamoja. Hii inawawezesha wanawake kuanzisha au kuendeleza biashara zao wenyewe, kukidhi gharama za nyumbani na hata kuwekeza katika elimu ya watoto wao.
Jill Biden, mke wa rais wa Marekani atembelea miradi Kibera, kitongoji cha Nairobi
Mke wa rais wa Marekani, Jill Biden, ametembelea kitongoji cha Kibera na kukutana na wanawake wanaojiwezesha kwa kutumia umoja wa kujiwekea fedha.

9
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden ahudhuria kazi za kuwawezesha vijana zinazosimamiwa na shirika la Shujaaz mjini Nairobi.

10
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden ahudhuria kazi za kuwawezesha vijana zinazosimamiwa na shirika la Shujaaz mjini Nairobi.