Mabalozi wa Baraza la Usalama watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.

9
Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.

10
Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO, atowa heshima zake kwa walinda amani akitembelea Goma.

11
Nicolas de Riviere, Balozi wa Ufaransa kwenye UN akikutana na ujumbe wa MONUSCO mjini Goma wakati wa ziara yao Jumapili March 12, 2023.

12
Msaada wa dharura kutoka Umoja wa Ulaya unawasili Goma wakati wa ziara ya mabalozi wa Baraza la Usalama la UM katika mji huo.