Viongozi wa Afrika watembelea Ukraine kwa juhudi za kumaliza vita vya Rashia na Ukriane
- Abdushakur Aboud
Marais Macky Sall wa Senegal, Hakainde Hichilema wa Zambia Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini na Assoumani Azali wa Comoros,watembelea Ukraine kujaribu kutafuta njia za kuwaleta marais Volodomyr Zelensky wa Ukraine na Vladimir Putin wa Rashia kwenye meza ya mazungumzo.

9
Mwendesha mashtaka wa Ukraine Andriy Kostin awaeleza viongozi wa nchi za Afrika kuhusu kilichotokea mjini Busha mnamo siku za mwanzo za uvamizi wa Rashia Ukraine.

10
Ujumbe wea viongozi wa Afrika watembela kaburi walozika watu wengi mjini Bucha, Ukraine na kuweka mshuma kutoa heshima zao kwa watu walouliwa kikatili huko.

11
Viongozi wa Afrika wakishauriana ndani ya treni wakielekea Kyiv, Ukraine kutoka Warsaw Poland kwa lengo la kutafuta njia za kuitisha mkutano wa amani kati ya Ukraine na Rashia