Mapigano kati ya Israel na Hamas yaingia wiki ya sita, na kusababisha hospitali nyingi kusita kutoa huduma
- Abdushakur Aboud
Maafisa wa afya wa Gaza wanasema ukosefu wa mafuta imesababisha kusitishwa kazi kwenye hospitali kadha Gaza kaskazini ambako watoto watano wachanga wamefariki Jumapili pamoja na wagonjwa 7 walokua mahtuti baada ya mashini za kuwapa oxygen kusita kufanya kazi.

9
Wanajeshi wa israel ndani ya Ukanda wa Gaza wakiendelea na operesheni ya kuwatafuta wapiganaji wa Hamas, Nov. 8, 2023.

10
Wapalestina watafuta watu walonusurika au maiti baada ya Israel kudondosha bomu huko Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, Nov. 12, 2023.

11
Watoto wa kipalestina wakiwa wanasongamana wakisubiri kupewa chakula katika kituo cha kugawa msaada cha Rafah.

12
Wapalestina wakimbia kuelekea Gaza kusini wakitumia barabara kuu ya Salah al-Din Street kwenye Ukanda wa Gaza, Nov. 8, 2023.
Forum