Siku 100 za Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda zaanza
Maadhimisho ya Kumbukumbu ya siku 100 za mauaji ya kimbari yakiendelea huko Kigali, Rwanda. Picha zote kwa hisani ya Ikulu ya Kigali.

5
Kushoto: Rais Nguesso wa Congo, Rais Kagame na mkewe Jeannette na Rais wa CAR Touadera na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ahmed na mkewe Zinash.

6
Rais wa Rwanda Paul Kagame na Mkewe Jeannette Kagame wakiweka shada la maua.

7
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na viongozi wengine katika kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, Rwanda.

8
Kushoto: Graca Machel, mke wa hayati Nelson Mandela, Bill Clinton, Rais wa zamani wa Marekani, Nicolas Sarkozy, Rais wa zamani wa Ufaransa.