Ujenzi wa reli unaojulikana kama Lobito Corridor unaofufuliwa tena huko Zambia, Congo na Angola una azma ya kuendeleza uwepo wa Marekani katika eneo lenye utajiri wa madini muhimu yanayotumiwa kutengeneza betri za magari ya umeme, vifaa vya kieletroniki na teknolojia ya nishati safi.
Ziara ya Biden Angola kukabiliana na ushawishi wa China barani Afrika
Biden aliwasili Angola Jumatatu kuanza ziara yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara na atatumia siku tatu za ziara yake kukabiliana na ushawishi wa China kwa kutangaza mradi wenye matarajio makubwa wa reli unaofadhiliwa na Marekani.

5
Rais Biden akisalimiana na mwenyeji wake Rais Lourenco,

6
Rais wa Marekani Joe Biden akiwa na Rais wa Angola Joao Lourenco,

7
Rais wa Marekani Joe Biden akiwa na Rais wa Angola Joao Lourenco wakati wa ziara yake