Pia kuna wachezaji mashuhuri na washabiki wa timu mbalimbali ambao Mwandishi wa VOA Sunday Shomari alipata fursa ya kupata picha zao wakiwa katika mavazi mbalimbali na maeneo ya viburudisho...
AFCON 2019 MISRI : Wapenzi wa Soka kutoka nchi mbalimbali za Afrika
Misri ni nchi yenye utamaduni wake yakiwemo mavazi na vinywaji. Lakini katika michuano ya kombe la AFCON watu wa kutoka mataifa mbalimbali pia wanashiriki katika kuhamasisha wachezaji kutoka nchi zao.

1
Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania Salma Kikwete akiwa miongoni mwa waliosafiri kushuhudia AFCON na kuhamasisha timu ya Tanzania.

2
Mchezaji wa zamani wa soka wa Somalia Mohammad Mahmoud akihudhuria michuano ya AFCON

3
Kazi na dawa ; Kiburudisho muruwa cha chai nchini Misri

4
Mashabiki wa Misri wakiwa katika mavazi yao asili