Pia kuna wachezaji mashuhuri na washabiki wa timu mbalimbali ambao Mwandishi wa VOA Sunday Shomari alipata fursa ya kupata picha zao wakiwa katika mavazi mbalimbali na maeneo ya viburudisho...
AFCON 2019 MISRI : Wapenzi wa Soka kutoka nchi mbalimbali za Afrika
Misri ni nchi yenye utamaduni wake yakiwemo mavazi na vinywaji. Lakini katika michuano ya kombe la AFCON watu wa kutoka mataifa mbalimbali pia wanashiriki katika kuhamasisha wachezaji kutoka nchi zao.

5
Mashabiki wa timu ya Tanzania wakiingia uwanjani kushuhudia pambano la Senegal na Tanzania

6
Mtanzania mkereketwa aliyekuja Misri kushuhudia michuano ya AFCON

7
Mtanzania mkereketwa aliyekuja Misri kushuhudia michuano ya AFCON

8
Mshabiki wa Senegal aliyekuja Misri kushuhudia michuano ya AFCON