Pia kuna wachezaji mashuhuri na washabiki wa timu mbalimbali ambao Mwandishi wa VOA Sunday Shomari alipata fursa ya kupata picha zao wakiwa katika mavazi mbalimbali na maeneo ya viburudisho...
AFCON 2019 MISRI : Wapenzi wa Soka kutoka nchi mbalimbali za Afrika
Misri ni nchi yenye utamaduni wake yakiwemo mavazi na vinywaji. Lakini katika michuano ya kombe la AFCON watu wa kutoka mataifa mbalimbali pia wanashiriki katika kuhamasisha wachezaji kutoka nchi zao.

9
Jamii ya Wasomali wanaoishi mji wa Nasr, Misri waliojitokeza kushuhudia michuano ya AFCON

10
Vijana wa Kisomali wanaoishi katika mji wa Nasr, Misri

11
Mshabiki wa timu ya Kenya aliyekuwa uwanjani nchini Misri kushuhudia michuano ya AFCON

12
Mshabiki wa Kenya akishangilia uwanjani nchini Misri