Maelfu ya wakaazi wa Wilaya ya Masisi wakiwa njiani kuelekea Goma kusalimisha maisha yao baada ya vita kupamba moto katika eneo la mji wa Sakae. Picha zote na Austere Malivika.
DRC: Wananchi wa Wilaya ya Masisi wakimbilia mjini Goma
Wananchi wanaokimbia makazi yao kutoka Wilaya ya Masisi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameiomba serikali kumaliza mgogoro unaoendelea biana yake na waasi wa M23.

1
Wakazi wa Masisi wakikimbilia mjini Goma. Picha na Mwandishi wetu Austere Malivika.

2

3

4