Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Juni 20, 2025 Local time: 09:13

Dunia yaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku


Dunia yaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Dunia imeadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku kwa matukio tofauti tofauti huku mataifa yakiweka mikakati ya kutokomeza matumizi hayo.

Baraza la Wawakilishi la Marekani linatarajia kupiga kura leo kuhusu sheria ya kusimamisha ukomo wa deni la serikali ikiwa imebakia wiki moja kabla ya serikali kukosa fedha za kulipa gharama mbalimbali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG