Timu za Senegal na Tunisia zaeleza kuwa tayari kufungua mchuano wao mjini Franceville, Gabon
CAN 2017: Senegal na Tunisia ziko tayari kwa mchuano wao wa kwanza

1
Kocha wa Smba wa Senegal Aliou Cisse na kapteni Cheikhou Kouyate wazungumza na waandishi habari katika ukumbi wa uwanja wa Franceville, Gabon, Januari 14 2017. (VOA/Amedine Sy)

2
Kocha wa Simba wa Senegal Aliou Cisse na kapteni Cheikhou Kouyate wazungumza na waandishi habari katika ukumbi wa uwanja wa Franceville, Gabon, Januari 14 2017. (VOA/Amedine Sy)

3
Aliou Cisse wa Senegal akiwasili kwa michuano ya CAN 2017, Franceville, Januari 12 2017 (VOA/Amedine Sy)

4
Mlinzi wa timu Senegal Khalidou Coulibaly mjini Bongoville.