No media source currently available
Mwanachi wa Kenya aeleza jinsi hali ya maisha ilivyokuwa ngumu kwa familia kutokana na vijana kukosa ajira na ana matumaini na ahadi zilizotolewa na mgombea urais William Ruto kwa sababu zinaendana na hali za watu wa kawaida.