Prayer vigils were held in churches across the country Thursday evening to honor the nine people killed in a mass shooting at a historic church in Charleston, South Carolina. Hundreds of people gathered to remember the victims at the Emanuel African Methodist Episcopal Church, where members are still coming to grips with the Wednesday night shooting attack.
Maombolezi yafanyika kote Marekani kufuatia shambulizi la Carolina Kusini

1
Olina Ortega, kushoto, na Austin Gibbs wakiwasha mshuma mbele ya kanisa la Emanuel AME Church iloiyogeuka kuwa eneo la makumbusho la muda kufuatia mauwaji ya waumini weusi walouliwa na mzungu aliyekuwa na bunduki Jumatano mchana wakati wa sala ndani ya kanisa hilo la kihistoria la watu weusi huko Charleston, S.C., June 18, 2015.

2
Waombolezi wamekusanyika katika uwanja wa Marion Square kwa ajili ya ibada ya makumbusho kuwasha mishuma, Alhamis, June 18, 2015, karibu na kanisa la Emanuel AME huko Charleston, S.C.

3
Kasisi Sandy Drayton, akiwa na jazba wakati wa dua ya maombolezi inayofanyika katika kanisa la Morris Brown AME mjini Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

4
Mtuhumiwa wa Charleston, Dylann Storm Roof, wapili kutoka kushoto akichukuliwa na maafisa wa usalama baada ya kuwauwa waumini 9 katika kanisa la kihistoria la watu weusi, June 18, 2015.