Papa Francis amewasili Kenya ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya nchi tatu za Afrika ambayo itamfikisha pia Uganda na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Papa Francis aanza ziara Kenya
1
Papa Francis akizungumza katika Ikulu ya Nairobi, Nov. 25, 2015.
2
Papa Francis (kushoto) na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Nov. 25, 2015.
3
Watu wakisubiri kuwasili kwa Papa Francis barabarani kutoka uwanja wa ndege kuelekea Ikulu Nairobi, Nov. 25, 2015.
4