Rais Barack Obama katika picha kutoka miaka yake ya mwanzoni kama Seneta katika jimbo la Illinois hadi kuchaguliwa kwake na kuwa Rais wa Marekani.
Rais Obama Katika Picha
Rais Barack Obama katika picha kutoka miaka yake ya mwanzoni kama Seneta katika jimbo la Illinois hadi kuchaguliwa kwake na kuwa Rais wa Marekani.

5
Rais Obama akipeana mkono na Chansela wa Ujerumani Angela Merkel White House, June 7, 2011.

6
Rais Obama akikutana na marais kadha wa Afrika wakati wa mkutano mkuu wa marais mjini Washington.

7
Katika picha hii Rais Obama na baadhi ya maafisa wake wa juu, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wakati huo Hillary Clinton, na makamu rais Joe Biden wakifuatilia shambulizi lililomuuwa Osama bin Laden.

8
Wanajeshi wa Marine wa Marekani wakimwangalia Rais Barack Obama kwenye television wakati anatangaza kuuawa kwa Osama Bin Laden, May 2, 2011.