No media source currently available
Kenya yasherehekea uhuru wa miaka 60 wa nchi hiyo huku Rais William Ruto akisema uchumi wa taifa hilo hauko tena hatarini.