Rawlings aliyefariki November 12, 2020, atakumbukwa kama kiongozi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi nchini humo, mara mbili na baadaye kuleta mfumo wa demokrasia kwa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings afariki akiwa na umri wa miaka 73
- Abdushakur Aboud
Kiongozi wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings, atakumbukwa kwa kudumisha demokrasia na kuleta utulivu nchini mwake pamoja na kukuza uhusiano wa kimataifa.

1
Rais Bill Clinton akitembea pamoja na Rais Jerry Rawlings wa Ghana kwenye bustani ya White House

2
Rais Bill Clinton wa Marekani pamoja na Jerry Rawlings wa Ghana baada ya kukabidhiwa kitenge

3
Rais Jerry Rawlings akimsalimia Mfalme Akihiyto wa Japan akimkaribishwa Tokyo Oktoba 1998

4
Rais Fidel Castro wa Cuba akimkaribisha rais wa Ghana Jerry Rawlings mjini Havana Septemba 1998