Sherehe hizo zimefanyika chini ya ulinzi mkali na imara nje ya ngazi za Bunge la Marekani, Washington, Januari 20, 2021.
Sherehe za kuapishwa Rais Joe Biden na Makamu Rais Kamala Harris
Joe Biden ameapishwa Jumatano kuwa Rais wa 46 wa Marekani pamoja na Makamu Rais Kamala Harris, Seneta wa zamani Baraza la Seneti la Marekani.

9
Rais wa zamani Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiwasili katika sherehe za kuapishwa Joe Biden kuwa Rais wa 46 wa Marekani.

10
Msanii Lady Gaga akiwasili kuimba mwimbo wa taifa katika sherehe za kuapishwa Joe Biden kuwa Rais wa 46 wa Marekani.20, 2021. REUTERS/Jim Bourg

11
Rais wa Marekani Joe Biden, mkewe Jill Biden, Makamu wa Rais Kamala Harris, na mumewe Doug Emhoff mara baada ya zoezi la kuapishwa kumalizika, Washington, Marekani., Januari 20, 2021. REUTERS/Tom Brenner