Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Juni 01, 2025 Local time: 07:30

Spika Pelosi azuru Taiwan, akutana na viongozi wa kisiasa


Spika Pelosi azuru Taiwan, akutana na viongozi wa kisiasa
please wait
  • Auto
  • 240p
  • 360p
  • 480p
  • 720p
  • 1080p

No media source currently available

0:00 29:59 0:00
  • Auto
  • 240p
  • 360p
  • 480p
  • 720p
  • 1080p

Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi alikutana na viongozi wa kisiasa wa Taiwan katika mji mkuu wa Taipei kabla ya kuondoka katika kisiwa hicho.

- Ubalozi wa Marekani nchini Kenya watoa tahadhari kwa raia wake kutosafiri kwenda Kisumu.

-Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika sekta ya nishati, mafuta na gesi.

-

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

XS
SM
MD
LG