Upinzani umepinga matokeo yaliyo tangazwa Januari 16 ukidai wizi mkubwa umefanyika. Kulingana na Tume ya Uchaguzi Museveni amepata asilimia 58.6 za kura huku mpinzani wake mkuu Bob Wine akiwa amepata asilimia 34.8.
Waganda wengi washeherekea ushindi wa Rais Museveni
- Abdushakur Aboud
Baadhi ya wananchi wa Uganda wakisheherekea ushindi wa Rais Yoweri Museveni kufuatia Uchaguzi Mkuu unaomweka madarakani kwa muhula wa sita, huku upinzani ukipinga matokeo.

1
Wafuasi wa Rais Museveni washerehekea kwenye mitaa ya Kampala, Uganda

2
Wanajeshi wapiga doria kabla ya matokeo kutangazwa mjini Kampala

3
Wanajeshi nje ya nyumba ya mgombea wa upinzani Bobi Wine, kwenye mtaa wa Magere

4
Wanajeshi nje ya jengo la Ikulu Kampala Uganda