George H.W. Bush alifariki Ijuma Nov. 30 akiwa na umri wa miaka 94 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Rais huyo wa 41 aliyetumikia mhula mmoja pekee kuanzia 1989 hadi 1993, atafanyiwa maziko ya kitaifa siku ya Juamtano katika kanisha kuu la Kikatholiki mjini Washington, kabla ya kurudishwa nyumbani Houston kwa maziko siku ya Alhamisi.
Wamarekani wamuaga George H.W. Bush

1
Jeneza la rais wa zamani wa Marekani George H.W. Bush linawasili kwenye jengo la bunge Capitol kuanza ibada ya maziko ya kitaifa jijini Washington, D.C., Dec. 3, 2018.

2
A military honor guard carries the casket of former President George H. W. Bush into the Capitol, Dec. 3, 2018 in Washington.

3
Former President George W. Bush, Laura Bush, left, and other family members watch as the flag-draped casket of former President George H.W. Bush is carried by a joint services military honor guard to lie in state in the rotunda of the U.S. Capitol, Dec. 3

4
The casket carrying former president George Herbert Walker Bush is carried up the steps of the U.S. Capitol in Washington, Dec. 3, 2018.