Matukio ya Dunia Washambuliaji wameshindwa :Kenyatta 25 Septemba, 2013 Your browser doesn’t support HTML5 Shambulizi lililodumu siku nne mjini Nairobi kwenye jengo kuu la bishara la Westgate Mall liliomalizika jumanne kufuatana na Rais Kenyatta