Afrika Matayarisho ya kuapishwa rais wa nne Kenya yamekamilika - 4:59 9 Aprili, 2013 Your browser doesn’t support HTML5 wakenya wasubiri kwa hamu sherehe za kihistoria za kuapishwa rais mpya aliyechaguliwa katika uchaguzi wa amani.