Videos Sefue azungumzia kufutwa sherehe za uhuru 23 Novemba, 2015 Your browser doesn’t support HTML5 Obeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi katika ofisi ya Rais wa Tanzania amesema sherehe za Uhuru zimefutwa ili kukabiliana na kipindupindu.