Papa Francis azungumza na Waganda

Papa Francis akiwasalimia watoto kwenye nyumba ya wazee Nalukokongo

Papa Francis yuko kwenye ziwa takatifu la Namugongo

Vijana wa Uganda wanamsubiri Papa kuwasili Kolo kuwahutubia

Wagombea kiti cha rais Uganda Mbabazi na Besigye wakizungumza kabla ya Papa kuwasili Namugongo
Papa Francis abariki jiwe kwenye makaburi ya Munyonyo mjini Kampala
Mama mzee anasikiliza kwa makini hotuba ya Papa Francis
Mali kuntigi kôrô, ATT naana Bamako, dimanchi lo, decemburu kalo 24, 2017