Nchi za Magharibi zamtahadharisha Putin juu ya gharama atakayolipa

Your browser doesn’t support HTML5

Mataifa ya Magharibi yamuonya Vladimir Putin kwamba atalipia gharama ya uharibifu unaotokea Ukraine.

Rais Zelenskyy ataka NATO kuonyesha nguvu zake za kijeshi huku akiomba msaada zaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari