Washirika wa maendeleo waahidi kuwekeza $ bilioni 30 kutekeleza mikataba ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Washirika wa maendeleo wameahidi kwa pamoja kuwekeza dola bilioni 30 katika utekelezaji wa mikataba ya Afrika, utoaji wa chakula na kilimo katika kipindi cha miaka mitano.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.