DRC: Shule zaidi ya 2,000 zalazimika kusitisha masomo kutokana na mapigano

Your browser doesn’t support HTML5

Shule zaidi ya 2,000 zafungwa DRC kutokana na mapigano yanayo endelea katika eneo la mashariki ya nchi hiyo.

Shirika la Fedha Duniani, IMF, inasema kuna uwezekano wa kuwepo hali ngumu ambapo viwango vya juu vya riba vinadhoofisha ukuaji kiasi cha kusababisha kudorora kwa uchumi hasa katika nchi tajiri zaidi duniani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari