Yemen: Watu 78 wafariki kutokana na taharuki ya milio ya risasi na milipuko ya umeme

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 78 wamekufa kutokana na taharuki ya milio ya risasi na milipuko ya umeme nchini Yemen wakati wa kugawa misaada katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katibu Mkuu wa NATO amefanya ziara ya kushitukiza nchini Ukraine...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari