. -Wakazi wanaoishi katika maeneo yaliyokuwa chini ya utawala wa M23 nchini DRC ambayo kwa sasa yanasimamiwa na vikosi vya Afrika Mashariki waeleza wanapitia hali ngumu ya kimaisha.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari