Rais wa zamani Trump atarajiwa kufika mahakamani kusomewa mashataka rasmi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani atarajiwa kufika mahakamani Jumanne kusomewa mashtaka rasmi kwa madai ya kushughulikia vibaya nyaraka za siri.

Zaidi ya raia 40 wauwawa katika shambulizi lililofanywa katika kambi ya watu waliokoseshwa makazi DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari