Rais Trump anatarajiwa kufika mahakamani kusomewa mashtaka

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani anatarajiwa kufika mahakamani Jumanne kusomewa rasmi mashtaka ya uhalifu wa kuhifadhi kinyume cha sheria nyaraka za serikali wakati alipoondoka madarakani.

Mswaada wa fedha wa 2023 wenye utata utafikishwa katika bunge la Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari