Wajumbe wataka utawala wa jeshi kuondolewa mashariki mwa DRC na kurejeshwa utawala wa kiraia

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa kujadili kuhusu usalama wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamalizika huku wajumbe wakitaka utawala wa jeshi katika eneo hilo kuondolewa na kurejeshwa utawala wa kiraia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari